Skip to main content

Posts

JINSI YA KUZUIA NA KUKABILIANA NA TATIZO LA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

  JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUZUIA AU KUKABILIANA NA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS). Fibroids ama vimbe kwenye kizazi ni tatizo la kihomoni ambalo linatokea kwa mwanamke ambae yupo katika umri wake anaoweza kuzaa. Hii humaanisha ya kwamba fibroids hua zinalishwa na homoni ya oestrogen. Fibroids ni kama magugu ambayo huota shambani katika shamba ambalo halifanyiwi palizi au limeachwa. Wanawake walio katika hatari ya kupata fibroids ni;- ·        Wanawake wenye umri kuanzia miaka 28, japokua hata chini ya miaka 28 wanaweza kupata. ·        Wanawake wanene. ·        Wanawake weusi (waafrika); hii ni kwa sababu ya ulaji pamoja na mtindo wa maisha. ·        Wanawake wenye shida ya presha pamoja na kisukari. ·        Historia ya familia kua na fibroids. Familia huambukizana epigenetics na endocrine disruptors kutokana na tab...

JINSI YA KUZUIA NA KUKABILIANA NA UGONJWA WA GOUT.

  KUHUSIANA NA UGONJWA WA GOUT. Kuna component moja hujulikana kama FRUCTOSE . Hii ni component hatari sana katika afya ya mwanadamu, lakini cha kushangaza ni kwamba wanadamu wengi wanaitumia kwa kuifurahia bila kujua ya kwamba hii ni sumu ambayo inawamaliza taratibu. Fructose hupatikana katika sukari, asali pamoja na matunda matamu. Fructose inapoingia katika mwili, mchakato wake hufanyika katika ini tu. Na hutambuliwa na enzyme ijulikanayo kwa jina la FRUCTOKINASE . Kazi ya Fructokinase ni kufanya metabolism ya Fructose ili iweze kua FRUCTOSE 1 PHOSPHATE . Mchakato huu hupelekea enzyme nyingine kuamshwa ijulikanayo kama ADENOSINE MONOPHOSPHATE DEAMINASE ambayo hupelekea kuzalishwa kwa taka mwili ijulikanayo kama URIC ACID. URIC ACID ndio chanzo kikuu cha GOUT. Wengi watakwambia ya kwamba Gout inasababishwa na ulaji wa nyama nyekundu. Mtu akikwambia hivi, mwambie ya kwamba Gout inasababishwa na kuwepo kwa kiwango cha Uric Acid katika damu ambacho husababishwa na FRUCT...

MBINU 3 ZA MAMA ANAYENYONYESHA KUPATA MAZIWA MENGI

  ILI MWANAMKE AZALISHE MAZIWA MENGI Kwa muda mrefu sana wanawake wanaonyonyesha wamekua wakiambiwa mambo kadhaa ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kwa ajili ya watoto wao. Mfano wa vitu wanavyoambiwa ni; ·        Kula mara kwa mara upate maziwa ·        Kunywa maziwa ili upate maziwa ·        Kunywa soda ya coca ili uzalishe maziwa ·        Kula matunda mengi ·        Kunywa juisi ya Ribena ·        Na mengine mengi. Maziwa ya mama huzalishwa katika FAT LOBULES . Na ndio sababu kwa nini matiti ya mama hua makubwa pale anapokua mjamzito. Hakuna bomba kwenye titi la mwanamke ambalo litazalisha maziwa eti kwa sababu amekula chakula flani. Chakula anachokula mama ni lazima kipitie mmeng`enyo na kuweza kufyonzwa katika mwili. Maziwa ya mama huhifadhiwa katika Fat Lobules kabla ya kus...

HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU.

 HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU. Kukosa choo ni hali ya kushindwa kupata choo baada ya saa 72 tangu upate choo mara ya mwisho. Kama muda haujafika saa 72 haitaitwa hali ya kukosa choo. Ni lazima saa 72 zitimie. Zipo sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mtu kuchelewa kupata choo kama vile;-         I.             Unapokua umefunga kula       II.             Unapobadilisha mazingira uliyoyazoea kujisaidia.     III.             Unapovadilisha muda ambao umezoea kujisaidia. Endapo utazidisha Zaidi ya saa 72 bila kupata choo basi fanya yafuatayo;-         I.             Usizidishe kiwango cha nyuzi nyuzi, kwani ni sawa na kuongeza idadi y...

FUNGA KULA ILI KUEPUKANA NA MARADHI

  FUNGA KULA ILI UEPUKANE NA MARADHI. Mwili wa mwanadamu haukuumbwa ili uwe na maradhi au kuugua. Lakini ni kwa nini mwanadamu hua anasumbuliwa na maradhi? Jaribu kuangalia wanyama kama sokwe, papa au mbwa mwitu. Ni wanyama ambao ni nadra kuona wanaugua. Lakini umeshawahi kujiuliza ni kwa nini? Jarbu kuangalia mazingira ya ulaji unaokuzunguka. Karibia kila kitu unachokula hakifai katika mwili wako lakini bado unakula. Wanadamu wanakula PRODUCTS Zaidi kuliko wanavyokula CHAKULA. Products ni vitu ambavyo miili yetu haiwezi kumeng`enya vinapofika tumboni. Na ndio maana mwanadamu anazungukwa na maradhi katika maisha yake. Ipo mbinu moja ya kale sana ambayo mwanadamu yoyote yule akiwa anaitumia hatakua mtu anayepata maradhi au kuugua ugonjwa wa aina yoyote ule. Mbinu hiyo si nyingine bali KUFUNGA KULA (FASTING) Unapokua umezuia mwili wako kula chakula kwa walau muda wa masaa 16 na Zaidi, mwili wako utakua katika hali ijulikanayo kama AUTOPHAGY. Yaani mwili wako hautafuni chaku...

P TATU ZA KUA NA AFYA NZURI

  P TATU ZA KUZINGATIA ILI UWE NA AFYA NZURI. Tupo katiika dunia ambayo watu wengi hupenda sana njia za mkato katika kila kitu. Na katika afya, wengi hukimbilia vidonge na dawa badala ya kubadilisha mtindo wa maisha yao ili waweze kuishi pasipo kutumia dawa ambazo mwisho wa siku zina madhara katika mwili.  Moja ya adui wakubwa ni UNENE, ni kwa sababu unene unakuanika katika kupata athari nyingi za ki afya mfano saratani, kisukari pamoja na magonjwa mengine mengi. Ila wengi hawataki kufanya hivyo wakidhani kuna vidonge vya kila tatizo wanalopata.  Dawa haziwezi kamwe kukuponya ugonjwa sugu, zitaondoa tu dalili kwa wakati huo na kukufanya uitegemee dawa hiyo katika maisha yako yote bila kupona kabisa. Utakua tu ukipata nafuu ili na kesho utumie tena na tena.  Chukulia mfano wa watu wenye vidonda vya tumbo, presha na kisukari. Kila siku watameza vidonge vitakavyowapa nafuu kwa muda mfupi, ila baadae wanarudi palepale. Maana yake ni kwamba kila siku itawabidi kut...

TATIZO LA KUTAPIKA/KICHEFUCHEFU UNAPOSAFIRI

  TATIZO LA KUTAPIKA AU KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOSAFIRI. Watu wengi sana wana hili tatizo. Tatizo hili hujulikana kama MOTION SICKNESS . Na lina sababu kuu 2         I.             ADRENAL GLAND FATIGUE       II.             GALL BLADDER/BILE DYSFUNCTION. 1. ADRENAL GLAND FATIGUE Adrenal glands hupatikana juu ya figo zako na huachilia homoni muhimu ijulikanayo kama CORTISOL. Cortisol husaidia tishu zako za mwili kuweza kukabiliana na hali za stress n.k ambazo ni; - ·          Inflammation ·          Motion (unapokua katika mwendo) ·          Height awareness (unapokua katika urefu mkubwa sana) ·          Kukagua kinga ya mwili ili isiwe...