MADHARA YA SODA KATIKA MWILI WAKO. Moja ni moja kati ya vinywaji vinavyopendwa na kutumiwa sana na watu wengi. Na mbaya Zaidi, hata watoto ambao hawana hatia hupewa soda na wazazi wao kwa madai ya kuwaonyesha upendo kwa kuwaburudisha. Lakini kitu ambacho hatukifahamu ni kwamba tunajichimbia makaburi wenyewe na kujiwekea nafasi ya kuumwa magonjwa ambayo yanatesa sana baadae na kuyatibu ni gharama kubwa sana. Soda imetengenezwa na vitu vingi vyenye sumu ambavyo havina faida yoyote katika mwili wa mwanadamu, lakini mbaya Zaidi ni kwamba vina madhara makubwa ambayo hua hayatokei kwa haraka bali huja taratibu katika maisha ya mwanadamu. KEMIKALI ZILIZOPO KATIKA CHUPA YA SODA NI; - · Carbonated water · High fructose corn syrup · Caramel · Phosphoric acid · ...
Blog hii ni kwa ajili ya kukusaidia kutatua changamoto za ki afya ambazo zinaweza kutatulika kwa kubadilisha jinsi ya kula na mtindo wa maisha