Skip to main content

Posts

Showing posts with the label vimbe kwenye kizazi

JINSI YA KUZUIA NA KUKABILIANA NA TATIZO LA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

  JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUZUIA AU KUKABILIANA NA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS). Fibroids ama vimbe kwenye kizazi ni tatizo la kihomoni ambalo linatokea kwa mwanamke ambae yupo katika umri wake anaoweza kuzaa. Hii humaanisha ya kwamba fibroids hua zinalishwa na homoni ya oestrogen. Fibroids ni kama magugu ambayo huota shambani katika shamba ambalo halifanyiwi palizi au limeachwa. Wanawake walio katika hatari ya kupata fibroids ni;- ·        Wanawake wenye umri kuanzia miaka 28, japokua hata chini ya miaka 28 wanaweza kupata. ·        Wanawake wanene. ·        Wanawake weusi (waafrika); hii ni kwa sababu ya ulaji pamoja na mtindo wa maisha. ·        Wanawake wenye shida ya presha pamoja na kisukari. ·        Historia ya familia kua na fibroids. Familia huambukizana epigenetics na endocrine disruptors kutokana na tab...