TATIZO LA KUTAPIKA AU KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOSAFIRI. Watu wengi sana wana hili tatizo. Tatizo hili hujulikana kama MOTION SICKNESS . Na lina sababu kuu 2 I. ADRENAL GLAND FATIGUE II. GALL BLADDER/BILE DYSFUNCTION. 1. ADRENAL GLAND FATIGUE Adrenal glands hupatikana juu ya figo zako na huachilia homoni muhimu ijulikanayo kama CORTISOL. Cortisol husaidia tishu zako za mwili kuweza kukabiliana na hali za stress n.k ambazo ni; - · Inflammation · Motion (unapokua katika mwendo) · Height awareness (unapokua katika urefu mkubwa sana) · Kukagua kinga ya mwili ili isiwe...
Blog hii ni kwa ajili ya kukusaidia kutatua changamoto za ki afya ambazo zinaweza kutatulika kwa kubadilisha jinsi ya kula na mtindo wa maisha