Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Hormone imbalance

MADHARA YA PAMPERS (DIAPERS) KWA MTOTO

  MADHARA YA PAMPERS (DIAPERS) KWA WATOTO. Kwa wale ambao ni wakongwe kidogo, yaani waliozaliwa miaka ya 90 kurudi nyuma, wengi hawakuvalishwa pampers na wazazi wao, bali walivalishwa nepi au vinginevyo. Lakini miaka ya hivi karibuni na tunapoelekea, kila mtoto anavalishwa pampers kulingana na utandawazi unavyozidi. Kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ambavyo mwanadamu anazidi kua mbali na asili yake na kuingia kwenye usasa ambao hauna chochote cha asili. Kadiri mwanadamu anavyoacha asili yake, ndivyo ambavyo matatizo ya ki afya huzidi Zaidi na Zaidi. Pampers za watoto zimetengenezwa na kemikali hatarishi ambazo huathiri afya ya mtoto ambae anakua. Kemikali hizo hufanya mambo yafuatayo; - ·          Huharibu ngozi ya mtoto na kusababisha mzio wa ngozi maeneo ya sehemu zake za siri. ·          Kemikali hizi hufyonzwa katika tishu za mwili na kusababisha shida katika kinga ya mwili wa mtoto...

MADHARA YA UNENE KWA WANAWAKE

  MADHARA YA UNENE KWA WANAWAKE. Wanawake hupata madhara makubwa Zaidi kwa sababu ya unene ukilinganisha na wanaume. Ingawa ifahamike ya kwamba, unene una madhara na athari kubwa wa mtu yoyote bila kujali ni wa jinsia gani. NI KWA NINI MWANAMKE ANA ATHIRIKA ZAIDI? ·          MATATIZO YA UZAZI : wanawake wanene huwa wanakumbwa na changamoto nyingi za uzazi kutokana na kuvurugika kwa homoni pamoja na mzunguko wa hedhi. ·          KUPUNGUA KWA HAMU YA TENDO LA NDOA : mara nyingi huwalaumu wanaume kwamba wana uume mdogo au wanamwaga mapema. Lakini uhalisia ni kwamba wanawake wanene hua hawana hamu ya tendo la ndoa, ni ngumu kuamsha hisia zao za mahaba ukilinganisha na wanawake wenye uzito sahihi. ·          MATATIZO KATIKA KUJIFUNGUA: hua wanapoteza nguvu katika kusukuma mtoto wakati wa kujifungua. Au pia hua na watoto wakubwa (macrosomia) kutokana na athar...

UKWELI KUHUSU NJIA ZA UZAZI WA MPANGO

  Njia za uzazi wa mpango Ukweli Kuhusiana Na Njia za Uzazi wa Mpango. Kuna aina 2 kuu za njia za uzazi wa mpango. 1.       Combined Oral Contraceptives (progesterone and oestrogen) 2.        Progesterone only contraceptives (POC) Hua zinakuja katika hali tatu tofauti. 1.       Vidonge vya kumeza. (ikijumuisha na P2) 2.       Sindano ambazo mtu huchomwa kila baada ya miezi 3 3.        Long acting mfano Norplant or jadelle (vitanzi) Njia hizi huzuia mbegu zisirutubishe yai katika mirija ya uzazi wakati wa ovulation. Hivyo hufanya kazi ya kuzuia ovulation kwa mwanamke. Mwanamke anapomeza dawa hizi, hutuma taarifa hasi (negative feedback) kwenye hypothalamus (sehemu ya ubongo) ambapo hupunguza uzalishwaji wa follicle stimulating hormone (FSH) pamoja na Lutenizing Hormone (LH), ambapo hufanya au kuzuia ukuaji wa follicle. Follicle ni k...

Madhara 7 Yanayowapata Wanawake Wanene

  Madhara 7 Yanayowapata Wanawake Wanene. Unene au uzito uliopitiliza una madhara kwa jinsia zote mbili, wanaume na wanawake, Ingawa kwa wanawake hupata madhara makubwa zaidi ukilinganisha na wanaume. Madhara Yanayowapata Wanawake Wanene. 1. Kushindwa Kubeba Ujauzito Wanawake wanene hupata changamoto nyingi zinazoathiri kizazi kama vile Polycistic Ovarian Syndrom ijulikanayo kama PCOS, Mji wa mimba kuzungungwa na mafuta au kuvurugika kwa hedhi inayosababishwa na kuvurugika kwa homoni. 2. Kupata Shida Wakati Wa Kujifungua Wengi hupata tabu katika kusukuma mtoto au mtoto kua mkubwa (macrosomia). Hii husababishwa na uchochezi wa insulini kwa kiumbe kinachokua tumboni mwa mama kutokana na ulaji mbovu wa mama kwa muda mrefu. 3. Neuroticism (kutokua sawa kisaikolojia) Mara nyingi hawa huwa na hasira za mara kwa mara, kujiona hawana thamani, kukosa kujiamini, kua na hisia hasi wakati mwingi, kua na ugomvi n.k. Hua wanajihisi kama vile kila mtu anawaona ni wabaya kutokana na miili yao iliv...

Hormonal Imbalance, Visababishi na Tiba yake

  Hormonal Imbalance HORMONAL IMBALANCE    Hormonal imbalance ama kwa Kiswahili ni mvurugiko wa kichochezi (hormone). Mara nyingi huwakumba wanawake Zaidi, ingawa hata wanaume wanaweza kua na tatizo hili. na kusababisha kiwango kidogo sana au kikubwa sana cha hormone au kichochezi chochote kutokukaa sawa.  NINI HUSABABISHA HORMONAL IMBALANCE  1️⃣Ulaji Mbovu wa chakula 2️⃣Unene (uzito uliopitiliza) 3️⃣Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.  4️⃣Stress na msongo wa mawazo 5️⃣kisukari 6️⃣Hyperglycemia (uzalishwaji wa kuzidi wa glucagon) 7️⃣Hypoglycemia (insulin kuzalishwa nyingi kuliko glucose kwenye damu) 8️⃣Saratani pamoja na vimbe kwenye via vya kizazi.  DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE  1️⃣Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa 2️⃣Kutokushika mimba (infertility) 3️⃣Kutokua na uwezo wa kusimamisha uume 4️⃣Mbegu za uzazi kuwa chache (low sperm count) 5️⃣Uke kua mkavu (vaginal dryness) 6️⃣Kubadilika badilika kwa mzunguko wa hedhi au maumivu makali 7️⃣Kutokupa...