HORMONAL IMBALANCE
Hormonal imbalance ama kwa Kiswahili ni mvurugiko wa kichochezi (hormone). Mara nyingi huwakumba wanawake Zaidi, ingawa hata wanaume wanaweza kua na tatizo hili. na kusababisha kiwango kidogo sana au kikubwa sana cha hormone au kichochezi chochote kutokukaa sawa.
NINI HUSABABISHA HORMONAL IMBALANCE
1️⃣Ulaji Mbovu wa chakula
2️⃣Unene (uzito uliopitiliza)
3️⃣Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
4️⃣Stress na msongo wa mawazo
5️⃣kisukari
6️⃣Hyperglycemia (uzalishwaji wa kuzidi wa glucagon)
7️⃣Hypoglycemia (insulin kuzalishwa nyingi kuliko glucose kwenye damu)
8️⃣Saratani pamoja na vimbe kwenye via vya kizazi.
DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE
1️⃣Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
2️⃣Kutokushika mimba (infertility)
3️⃣Kutokua na uwezo wa kusimamisha uume
4️⃣Mbegu za uzazi kuwa chache (low sperm count)
5️⃣Uke kua mkavu (vaginal dryness)
6️⃣Kubadilika badilika kwa mzunguko wa hedhi au maumivu makali
7️⃣Kutokupata usingizi vizuri
8️⃣Kuongezeka uzito
9️⃣Kupata choo kwa shida au kuharisha
1️⃣0️⃣Kutokua sawa kwa mapigo ya moyo
1️⃣1️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
1️⃣2️⃣Kichwa kuuma mara kwa mara
1️⃣3️⃣Kuumwa mafua mara kwa mara
1️⃣4️⃣Kupoteza kumbukumbu
1️⃣5️⃣Uchovu wa mara kwa mara
1️⃣6️⃣Ngozi kua kavu sana
1️⃣7️⃣Maumivu ya mifupa na viungo
1️⃣8️⃣Kujisikia joto ghafla wakati wa usiku
1️⃣9️⃣Kuvimba kwa kinena (clitoral enlargement)
2️⃣0️⃣Chunusi wakati wa hedhi au kabla ya hedhi
NJIA ZA KAWAIDA ZA KUWEKA SAWA KIWANGO CHA HORMONE.
1️⃣Jitahidi kula protini katika kila mlo
2️⃣Fanya mazoezi ya kutosha. (mazoezi husaidia kuleta insulin sensitivity nzuri)
3️⃣Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya kiwandani
4️⃣Jifunze sana kutokua na stress
5️⃣Tumia mafuta mazuri kama vile omega 3 (mafuta ya samaki)
6️⃣Usile kupita kiasi na usikae na njaa muda mrefu.
7️⃣Pendelea sana kutumia green tea. (zina kiwango kikubwa cha antioxidants ijulikanayo kama EGCG)
8️⃣Pata usingizi wa kutosha. (usingizi hafifu husababisha mvurugiko wa hormone ya insulin, cortisol, leptin, pamoja na growth hormone.
9️⃣Epuka sana kutumia vyakula vya sukari
1️⃣0️⃣Pendelea kutumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi kwa wingi
1️⃣1️⃣Pendelea kutumia mayai. (yana mafuta mazuri)
VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA KIWANGO CHA HORMONES
π PARACHICHI : tunda hili lina mafuta mazuri na lina kawaida ya kubalance hormone ya cortisol ambayo inahusika sana na mzunguko wa hedhi. Pia lina beta sitosterol ambayo inasaidia kuweka kiwango cha lehemu sawa kwenye mishipa ya damu.
π FLAX SEED (MBEGU ZA KATANI) : zina phytoestrogens, omega 3, fibers pamoja na anti-oxidants.
π BROCCOLI, KABICHI NA CAULIFLOWER: hizi ni mboga za jamii ya kabichi, zina kiwango kikubwa cha madini ya calcium na zina balance kiwango cha estrogen.
π KOMAMANGA : hili tunda lina sifa ya kua na anti-oxidants kwa kiwango cha juu sana na huweka sawa kiwango cha estrogen.
π OMEGA 3 (SALMON FISH): haya ni mafuta mazuri ambayo yanasaidia kuweka sawa kiwango cha horomones kwenye damu. Angalau utumie mara 2 kwa wiki.
π MBOGA ZA MAJANI: nzuri sana kwa ku balance hormones kwani yana madini ya kutosha.
π MBEGU KAMA MLOZI (ALMOND): zina effect kubwa sana kwenye mfumo mzima wa hormones. (endocrine system)
π SOYA : inasaidia kuweka sawa kiwango cha estrogen.
π MANJANO/BINZARI (TURMERIC): inasaidia kubalance hormone ya estrogen na ina tabia ya uponyaji kwa sababu ina curcumin.
Hizi nilizotaja ni njia tu za asili ambazo zinasaidia kuweka sawa hormones. Hivyo nashauri kuonana na wataalam wa afya kwa ushauri Zaidi.
Vipo virutubisho (tiba lishe) ambavyo vinasaidia sana kuweka sawa kiwango cha hormone. Na vimewasaidia wengi. Hivyo kama ukipenda kuvipata, wasiliana na mimi kwa namba 0621068072 .
Au bonyeza hapaπ
NB: Bonyeza link tu kama unahitaji Tiba ya hormonal Imbalance
kwa msaada zaidi
whatsapp 0621068072
mobile 0753068572
Comments
Post a Comment