MADHARA YA UNENE KWA WANAWAKE. Wanawake hupata madhara makubwa Zaidi kwa sababu ya unene ukilinganisha na wanaume. Ingawa ifahamike ya kwamba, unene una madhara na athari kubwa wa mtu yoyote bila kujali ni wa jinsia gani. NI KWA NINI MWANAMKE ANA ATHIRIKA ZAIDI? · MATATIZO YA UZAZI : wanawake wanene huwa wanakumbwa na changamoto nyingi za uzazi kutokana na kuvurugika kwa homoni pamoja na mzunguko wa hedhi. · KUPUNGUA KWA HAMU YA TENDO LA NDOA : mara nyingi huwalaumu wanaume kwamba wana uume mdogo au wanamwaga mapema. Lakini uhalisia ni kwamba wanawake wanene hua hawana hamu ya tendo la ndoa, ni ngumu kuamsha hisia zao za mahaba ukilinganisha na wanawake wenye uzito sahihi. · MATATIZO KATIKA KUJIFUNGUA: hua wanapoteza nguvu katika kusukuma mtoto wakati wa kujifungua. Au pia hua na watoto wakubwa (macrosomia) kutokana na athar...
Blog hii ni kwa ajili ya kukusaidia kutatua changamoto za ki afya ambazo zinaweza kutatulika kwa kubadilisha jinsi ya kula na mtindo wa maisha