Skip to main content

Posts

Showing posts with the label erectile dysfunction

Mbinu za Kukusaidia Kua Mwanaume Rijali na Kuondokana na Upungufu wa Nguvu za Kiume

  Mbinu Zinazosaidia Kua Mwanaume Rijali na Kuondoa Upungufu Wa Nguvu Za Kiume. Upungufu wa nguvu za kiume (Erectile Dysfunction) ni hali ya kukosa uwezo wa kudumisha kusimama kwa uume wakati wa kufanya ngono. Hali hii huleta fedheha ambayo huteteresha mahusiano yaliyo mengi, husababishwa na matukio au hali ambazo huvuruga utimamu wa misuli, vhichochezi (hormones), mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu katika uume. Visababishi Vya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume. Sababu za Kisaikolojia Sababu za kimetaboliki Sababu za mfumo wa neva za fahamu pamoja na mifupa ya misuli. 1. Sababu za Kisaikolojia Sonona/ msongo wa mawazo Unywaji wa pombe na sigara: (hudhoofisha mfumo wa neva, ubongo pamoja na mishipa ya damu kadiri mtumiaji anavyotumia) Wasiwasi Hali ya hatia Kujiona huna thamani (low self esteem) Picha ama video za ngono na punyeto: Hizi ndio mbaya zaidi kwani huleta ganzi katika sehemu zihusikazo na ladha za kimahaba katika ubongo. 2. Sababu Za Kimetaboliki Ugonjwa wa kisukari Shi...

SABABU, DALILI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

  Erectile Dysfunction SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Upungufu wa nguvu za kiume, ama kwa jina jingine Erectile Dysfunction (ED) ni ile hali ambayo mwanaume hushindwa kusimamisha uume au kushindwa kusimamisha uume kwa muda mrefu na kuweza kufanya tendo la ndoa. AU ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume kabisa au kushindwa kusimamisha wakati wa kujamiiana hasa baada ya kufika kileleni. Na hali hii huweza kumtokea mtu yeyote. Kwa kawaida, kila mwanaume huweza kupatwa na hali hii walau mara moja katika maisha yake. Ingawa inapotokea mara kwa mara, basi hilo hua ni tatizo na linahitaji kutatuliwa. VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Kisukari: husababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu kwenye uume. Hivyo kushindwa kupitisha damu ya kutosha. Uvutaji wa Sigara: Nicotine iliyopo kwenye sigara husababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu iliyopo kwenye uume. Hivyo kushindwa kuweza kusimamisha uume. Magonjwa ya moyo: husababisha mzunguko wa damu kwenye mishiba ya kwenye ...