Skip to main content

Posts

Showing posts with the label covid-19

VYAKULA VIZURI KUTUMIA WAKATI WA COVID-19

  COVID-19 FOODS Uwepo wa kirusi cha Corona, dunia nzima inapambana katika kujilinda na maambukizi haya. Hivyo ni vyema kufwata ushauri wa wataalam katika kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi haya. kitu kikubwa zaidi ni kuhakikisha kua kinga ya mwili iko imara. Na unaweza kuimarisha kinga ya mwili kwa kutumia vyakula vinavyosaidia kuimarisha kinga ya mwili. Kinga ya mwili inapoimarika, basi inakua na uwezo wa kupambana na maambukizi yoyote yale yasiweze kukupata au kukuletea athari kubwa. VYAKULA VINAVYOONGEZA KINGA YA MWILI MANJANO (TUMERIC): ina compound ambayo ni anti-inflammatory iitwayo curcumin ambayo hua inahamasisha uzalishwaji wa T cells ambazo ndio cell zinazopigania afya yako kwenye kinga ya mwili. NYANYA: ni nzuri kuzila haswa unapoumwa kwa sababu ya wingi wa Vitamin C . nyanya moja ina zaidi ya mg 16 za Vitamin C ambayo ni muhimu sana kwenye kinga yako ya mwili. (ili iwe rahisi kuila yenyewe, unaweza kuitumia kwenye kachumbari) SAMAKI WA SAMONI (SALMNO...