TATIZO LA KUTAPIKA AU KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOSAFIRI.
Watu wengi sana wana hili tatizo.
Tatizo hili hujulikana kama MOTION SICKNESS. Na lina
sababu kuu 2
I.
ADRENAL
GLAND FATIGUE
II.
GALL
BLADDER/BILE DYSFUNCTION.
1. ADRENAL GLAND
FATIGUE
Adrenal glands hupatikana juu ya figo zako na huachilia
homoni muhimu ijulikanayo kama CORTISOL.
Cortisol husaidia tishu zako za mwili kuweza kukabiliana na
hali za stress n.k ambazo ni; -
·
Inflammation
·
Motion
(unapokua katika mwendo)
·
Height
awareness (unapokua katika urefu mkubwa sana)
·
Kukagua
kinga ya mwili ili isiweze kukushambulia (autoimmunity)
Kama una cortisol ya kiwango cha chini sana, hupelekea shida
ya chronic inflammation, kizunguzungu pamoja na kichefuchefu.
Matokeo yake ni; -
I.
Kupata
pumu au uzio (allergy)
II.
Kupoteza
kumbukumbu
III.
Magonjwa
ya Autoimmunity mfano lupus, magonjwa ya thyroid n.k
IV.
Kutokupata
usingizi
V.
Kitambi
au nyama zembe.
UTAWEZAJE KUJUA KAMA UNASHIDA YA ADRENAL FATIGUE?
I.
Lala
chini kwa dakika 3
II.
Pima
presha yako
III.
Amka
usimame
IV.
Pima
tena presha yako
Endapo systolic (presha ya juu) haitaongezeka kwa unit 6 hadi
10 au ukahisi kizunguzungu baada ya kuamka, basi adrenals zako ni dhaifu kwa
sababu hazijaweza kukusapoti kukabiliana na Gravitational Stress.
Ndicho ambacho hutokea unaposafiri kutokana na MOTION SICKNESS.
Adrenals zako zinashindwa kusapoti mfumo wa Autonomous na kuleta kichefuchefu
na kutapika.
Mara nyingi katika sehemu za kutolea huduma za afya watakupa
dawa ya prednisolone (cortisol) au dawa aina za Anti-histamines kama una dalili
za Motion Sickness.
NINI CHA KUFANYA
KUONDOKANA NA TATIZO HILI?
I.
Funga
kula mara kwa mara.
II.
Zingatia
mlo safi
III.
Protini
za kutosha pamoja na mafuta ya wanyama.
IV.
Pata
usingizi wa kutosha. (saa 8 kwa siku)
Kama unakichefuchefu, unaweza kunywa vifuatavyo; -
I.
Tangawizi
II.
Chamomile
III.
Cayenne
pepper
IV.
Peppermint
Na FIT BY WAYNE.
Reference: www.amerix.co.ke
Comments
Post a Comment