KUHUSIANA NA UGONJWA WA
GOUT.
Kuna component moja hujulikana kama FRUCTOSE. Hii ni component hatari sana katika afya ya mwanadamu,
lakini cha kushangaza ni kwamba wanadamu wengi wanaitumia kwa kuifurahia bila
kujua ya kwamba hii ni sumu ambayo inawamaliza taratibu.
Fructose hupatikana katika sukari, asali
pamoja na matunda matamu.
Fructose inapoingia katika mwili, mchakato
wake hufanyika katika ini tu. Na hutambuliwa na enzyme ijulikanayo kwa jina la FRUCTOKINASE. Kazi ya Fructokinase ni
kufanya metabolism ya Fructose ili iweze kua FRUCTOSE 1 PHOSPHATE. Mchakato huu hupelekea enzyme nyingine
kuamshwa ijulikanayo kama ADENOSINE
MONOPHOSPHATE DEAMINASE ambayo hupelekea kuzalishwa kwa taka mwili
ijulikanayo kama URIC ACID.
URIC ACID ndio chanzo kikuu cha GOUT.
Wengi watakwambia ya kwamba Gout inasababishwa na ulaji wa
nyama nyekundu. Mtu akikwambia hivi, mwambie ya kwamba Gout inasababishwa na
kuwepo kwa kiwango cha Uric Acid katika damu ambacho husababishwa na FRUCTOSE.
Je, unafahamu Fructose inapatikana katika nini?
·
Matunda
ya kisasa
·
Asali
·
Vinywaji
laini kama soda, juisi n.k (hua
nashangaa sana wazazi ambao huwapa watoto wao soda na juisi eti wanaonyesha
upendo wakati wanawaua)
·
Energy
drinks
·
Sukari
yenyewe.
Reference: www.amerix.co.ke
Comments
Post a Comment