Skip to main content

Posts

FANYA HIVI KAMA UNASUMBULIWA NA CHUNUSI

  FANYA HIVI KAMA UNASUMBULIWA NA CHUNUSI. Chunusi ni vimbe zinazosababishwa na kuzibika kwa folikoli za nywele na mafuta ya ngozi (sebum), seli za ngozi zilizokufa, na protini zilizokufa. Kuziba huku kunavuta bakteria wa ngozi ambao husababisha uvimbe na kuongezeka kwa vimbe hizi. Sebum ni dutu yenye mafuta inayozalishwa na tezi za mafuta kwenye ngozi yako. Sebum inalinda ngozi, lakini unapozalishwa kupita kiasi, inaweza kuziba njia za ngozi, kufunga seli za ngozi zilizokufa, na kuvuta bakteria wa ngozi, hivyo kusababisha uvimbe na chunusi.   Uzalishaji wa sebum kupita kiasi unatokana na homoni za ngono zinazosambaa sana kwenye damu. Hii ndiyo sababu chunusi ni kawaida kwa vijana na watu wazima vijana. Protini inayojulikana kama Sex Hormone Binding Globulin (SHBG) inapunguza homoni za ngono zisizo na mpangilio.   SHBG inashikilia homoni hizi za ngono ili zisilete athari zisizohitajika kwenye seli na viungo kama ngozi. Homoni hizi za ngono ni estrogeni na testosterone. Kwa ka
Recent posts

MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO.

  MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO KWA MWANAMKE. Zipo aina kuu 2 za njia za kisasa za uzazi wa mpango. 1.       Dawa za uzazi wa mpango za kumeza zenye homoni mbili ( progestin na estrojeni ) 2.       Dawa za uzazi wa mpango za progestin pekee (POC) Njia hizi hupatikana katika mfumo wa aina 3 1.       Vidonge vikiwemo vidonge vya dharura 2.       Sindano, mara nyingi huchomwa kila baada ya miezi 3 3.       Namna za kudumu kama vile norplant au jadelle. Dawa hizi za uzazi wa mpango huzuia nafasi ya mbegu za manii kufyonza yai katika mirija ya uzazi wakati wa ovulisho. Kwa kawaida, zinasitisha ovulisho (ovulation). Progestin hutuma maoni hasi kwa hypothalamus . Hypothalamus inapunguza utoaji wa homoni ya gonadotropin ambayo kwa upande hupunguza kutolewa kwa homoni ya kuvuta folikoli (FSH) na homoni ya kuvuta luteinizing (LH) , ambayo kwa upande inazuia maendeleo ya folikoli. Folikoli ni kifuko kinachochukua yai likiwa bado halijakomaa. Ikiwa folik

JINSI YA KUZUIA NA KUKABILIANA NA TATIZO LA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

  JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUZUIA AU KUKABILIANA NA VIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS). Fibroids ama vimbe kwenye kizazi ni tatizo la kihomoni ambalo linatokea kwa mwanamke ambae yupo katika umri wake anaoweza kuzaa. Hii humaanisha ya kwamba fibroids hua zinalishwa na homoni ya oestrogen. Fibroids ni kama magugu ambayo huota shambani katika shamba ambalo halifanyiwi palizi au limeachwa. Wanawake walio katika hatari ya kupata fibroids ni;- ·        Wanawake wenye umri kuanzia miaka 28, japokua hata chini ya miaka 28 wanaweza kupata. ·        Wanawake wanene. ·        Wanawake weusi (waafrika); hii ni kwa sababu ya ulaji pamoja na mtindo wa maisha. ·        Wanawake wenye shida ya presha pamoja na kisukari. ·        Historia ya familia kua na fibroids. Familia huambukizana epigenetics na endocrine disruptors kutokana na tabia ya ulaji na mtindo wa maisha ya familia husika. ·        Wanawake ambao hawajazaa. Haswa ambao wamefika miaka 30. ·        Wanawake wenye upungudu

JINSI YA KUZUIA NA KUKABILIANA NA UGONJWA WA GOUT.

  KUHUSIANA NA UGONJWA WA GOUT. Kuna component moja hujulikana kama FRUCTOSE . Hii ni component hatari sana katika afya ya mwanadamu, lakini cha kushangaza ni kwamba wanadamu wengi wanaitumia kwa kuifurahia bila kujua ya kwamba hii ni sumu ambayo inawamaliza taratibu. Fructose hupatikana katika sukari, asali pamoja na matunda matamu. Fructose inapoingia katika mwili, mchakato wake hufanyika katika ini tu. Na hutambuliwa na enzyme ijulikanayo kwa jina la FRUCTOKINASE . Kazi ya Fructokinase ni kufanya metabolism ya Fructose ili iweze kua FRUCTOSE 1 PHOSPHATE . Mchakato huu hupelekea enzyme nyingine kuamshwa ijulikanayo kama ADENOSINE MONOPHOSPHATE DEAMINASE ambayo hupelekea kuzalishwa kwa taka mwili ijulikanayo kama URIC ACID. URIC ACID ndio chanzo kikuu cha GOUT. Wengi watakwambia ya kwamba Gout inasababishwa na ulaji wa nyama nyekundu. Mtu akikwambia hivi, mwambie ya kwamba Gout inasababishwa na kuwepo kwa kiwango cha Uric Acid katika damu ambacho husababishwa na FRUCTOSE.

MBINU 3 ZA MAMA ANAYENYONYESHA KUPATA MAZIWA MENGI

  ILI MWANAMKE AZALISHE MAZIWA MENGI Kwa muda mrefu sana wanawake wanaonyonyesha wamekua wakiambiwa mambo kadhaa ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kwa ajili ya watoto wao. Mfano wa vitu wanavyoambiwa ni; ·        Kula mara kwa mara upate maziwa ·        Kunywa maziwa ili upate maziwa ·        Kunywa soda ya coca ili uzalishe maziwa ·        Kula matunda mengi ·        Kunywa juisi ya Ribena ·        Na mengine mengi. Maziwa ya mama huzalishwa katika FAT LOBULES . Na ndio sababu kwa nini matiti ya mama hua makubwa pale anapokua mjamzito. Hakuna bomba kwenye titi la mwanamke ambalo litazalisha maziwa eti kwa sababu amekula chakula flani. Chakula anachokula mama ni lazima kipitie mmeng`enyo na kuweza kufyonzwa katika mwili. Maziwa ya mama huhifadhiwa katika Fat Lobules kabla ya kusisimuliwa ili yatoke katika chuchu. Vyakula pekee amavyo mama anahitaji ni; ·        Nyama ·        Mayai (ya kienyeji) ·        Samaki ·        Shahamu muhimu (essential fat

HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU.

 HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU. Kukosa choo ni hali ya kushindwa kupata choo baada ya saa 72 tangu upate choo mara ya mwisho. Kama muda haujafika saa 72 haitaitwa hali ya kukosa choo. Ni lazima saa 72 zitimie. Zipo sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mtu kuchelewa kupata choo kama vile;-         I.             Unapokua umefunga kula       II.             Unapobadilisha mazingira uliyoyazoea kujisaidia.     III.             Unapovadilisha muda ambao umezoea kujisaidia. Endapo utazidisha Zaidi ya saa 72 bila kupata choo basi fanya yafuatayo;-         I.             Usizidishe kiwango cha nyuzi nyuzi, kwani ni sawa na kuongeza idadi ya magari katika barabara ambayo tayari ina foleni kubwa.       II.             Kunywa SALINE WATER (maji yenye chumvi) mara 2 kwa siku. Hii itasaidia kusisimua shughuli za utumbo wako. Utumbo umetengenezwa kwa misuli laini ambayo hua inatanuka na kusinyaa kupitia chaneli ya sodium-potassium pump.     III.             Tumia maziw

FUNGA KULA ILI KUEPUKANA NA MARADHI

  FUNGA KULA ILI UEPUKANE NA MARADHI. Mwili wa mwanadamu haukuumbwa ili uwe na maradhi au kuugua. Lakini ni kwa nini mwanadamu hua anasumbuliwa na maradhi? Jaribu kuangalia wanyama kama sokwe, papa au mbwa mwitu. Ni wanyama ambao ni nadra kuona wanaugua. Lakini umeshawahi kujiuliza ni kwa nini? Jarbu kuangalia mazingira ya ulaji unaokuzunguka. Karibia kila kitu unachokula hakifai katika mwili wako lakini bado unakula. Wanadamu wanakula PRODUCTS Zaidi kuliko wanavyokula CHAKULA. Products ni vitu ambavyo miili yetu haiwezi kumeng`enya vinapofika tumboni. Na ndio maana mwanadamu anazungukwa na maradhi katika maisha yake. Ipo mbinu moja ya kale sana ambayo mwanadamu yoyote yule akiwa anaitumia hatakua mtu anayepata maradhi au kuugua ugonjwa wa aina yoyote ule. Mbinu hiyo si nyingine bali KUFUNGA KULA (FASTING) Unapokua umezuia mwili wako kula chakula kwa walau muda wa masaa 16 na Zaidi, mwili wako utakua katika hali ijulikanayo kama AUTOPHAGY. Yaani mwili wako hautafuni chakula,