Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2023

MBINU 3 ZA MAMA ANAYENYONYESHA KUPATA MAZIWA MENGI

  ILI MWANAMKE AZALISHE MAZIWA MENGI Kwa muda mrefu sana wanawake wanaonyonyesha wamekua wakiambiwa mambo kadhaa ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kwa ajili ya watoto wao. Mfano wa vitu wanavyoambiwa ni; ·        Kula mara kwa mara upate maziwa ·        Kunywa maziwa ili upate maziwa ·        Kunywa soda ya coca ili uzalishe maziwa ·        Kula matunda mengi ·        Kunywa juisi ya Ribena ·        Na mengine mengi. Maziwa ya mama huzalishwa katika FAT LOBULES . Na ndio sababu kwa nini matiti ya mama hua makubwa pale anapokua mjamzito. Hakuna bomba kwenye titi la mwanamke ambalo litazalisha maziwa eti kwa sababu amekula chakula flani. Chakula anachokula mama ni lazima kipitie mmeng`enyo na kuweza kufyonzwa katika mwili. Maziwa ya mama huhifadhiwa katika Fat Lobules kabla ya kusisimuliwa ili yatoke katika chuchu. Vyakula pekee amavyo mama anahitaji ni; ·        Nyama ·        Mayai (ya kienyeji) ·        Samaki ·        Shahamu muhimu (essential fat

HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU.

 HALI YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU. Kukosa choo ni hali ya kushindwa kupata choo baada ya saa 72 tangu upate choo mara ya mwisho. Kama muda haujafika saa 72 haitaitwa hali ya kukosa choo. Ni lazima saa 72 zitimie. Zipo sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mtu kuchelewa kupata choo kama vile;-         I.             Unapokua umefunga kula       II.             Unapobadilisha mazingira uliyoyazoea kujisaidia.     III.             Unapovadilisha muda ambao umezoea kujisaidia. Endapo utazidisha Zaidi ya saa 72 bila kupata choo basi fanya yafuatayo;-         I.             Usizidishe kiwango cha nyuzi nyuzi, kwani ni sawa na kuongeza idadi ya magari katika barabara ambayo tayari ina foleni kubwa.       II.             Kunywa SALINE WATER (maji yenye chumvi) mara 2 kwa siku. Hii itasaidia kusisimua shughuli za utumbo wako. Utumbo umetengenezwa kwa misuli laini ambayo hua inatanuka na kusinyaa kupitia chaneli ya sodium-potassium pump.     III.             Tumia maziw

FUNGA KULA ILI KUEPUKANA NA MARADHI

  FUNGA KULA ILI UEPUKANE NA MARADHI. Mwili wa mwanadamu haukuumbwa ili uwe na maradhi au kuugua. Lakini ni kwa nini mwanadamu hua anasumbuliwa na maradhi? Jaribu kuangalia wanyama kama sokwe, papa au mbwa mwitu. Ni wanyama ambao ni nadra kuona wanaugua. Lakini umeshawahi kujiuliza ni kwa nini? Jarbu kuangalia mazingira ya ulaji unaokuzunguka. Karibia kila kitu unachokula hakifai katika mwili wako lakini bado unakula. Wanadamu wanakula PRODUCTS Zaidi kuliko wanavyokula CHAKULA. Products ni vitu ambavyo miili yetu haiwezi kumeng`enya vinapofika tumboni. Na ndio maana mwanadamu anazungukwa na maradhi katika maisha yake. Ipo mbinu moja ya kale sana ambayo mwanadamu yoyote yule akiwa anaitumia hatakua mtu anayepata maradhi au kuugua ugonjwa wa aina yoyote ule. Mbinu hiyo si nyingine bali KUFUNGA KULA (FASTING) Unapokua umezuia mwili wako kula chakula kwa walau muda wa masaa 16 na Zaidi, mwili wako utakua katika hali ijulikanayo kama AUTOPHAGY. Yaani mwili wako hautafuni chakula,