Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2021

MADHARA YA KUTUMIA MKATE MWEUPE (NGANO ILIYOKOBOLEWA)

  Mkate Mweupe uliotengenezwa kwa ngano iliyokobolewa MADHARA YA KUTUMIA MKATE MWEUPE (NGANO ILIYOKOBOLEWA) Ngano ni moja wapo ya nafaka zinazotumika zaidi duniani. Ngano inashika namba 2, namba moja ikiwa ni mahindi na namba 3 ikiwa ni mchele kwa matumizi duniani.  Kuna mikate ya aina mbali mbali, na asilimia kubwa ya mikate hutengenezwa kwa kutumia Unga wa Ngano. kuna aina 2 za unga wa Ngano,  Unga wa Atta. (Unga wa Ngano ambao haujakobolewa) Unga wa Ngano uliokobolewa. (ngano nyeupe) Unga wa Ngano mweupe (uliokobolewa) ndio unaongoza kwa kutengeza mikate kwa asilimia kubwa. Ila madhara ya kutumia unga wa ngano uliokobolewa ni makubwa kuliko ambavyo watu wanafahamu. NINI MADHARA YA KUTUMIA NAFAKA ZILIZOKOBOLEWA? Kwa kawaida, mtu huchukua takribani dakika 5 kuweza kula kipande cha mkate wa unga wa Atta. (yaani mkate wa unga wa Ngano ambao haujakobolewa). Lakini mtu hutumia sekunde chache kuweza kula kipande cha mkate wa unga wa Ngano iliyokobolewa. (unga mweupe wa ngano). Daktari anay

DETOX YA SIKU 7. HATUA YA KWANZA KUPUNGUZA UNENE

  HATUA YA KWANZA KUPUNGUZA UNENE. Uzito Unaotakiwa kua nao Kulingana na Urefu Pamoja na Jinsia UREFU (CM) UREFU (FT & INCH) UZITO (KG)       MWANAUME MWANAMKE 147 4' 10" - 45-59 150 4' 11" - 45-60 152 5' 0" - 46-62 155 5' 1" 55-66 47-63 157 5' 2" 56-67 49-65 160 5' 3" 57-68 50-67 162 5' 4" 58-70 51-69 165 5' 5" 59-72 53-70 167 5' 6" 60-74 54-72 170 5' 7" 61-75 55-74 172 5' 8" 62-77