Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2021

VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUTIBU TATIZO LA GAUTI

  Gauti (Gout) GAUTI NI NINI? Gauti ni aina ya ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili na husababishwa na kuwepo kwa kiasi kikubwa cha tindikali ya urea (excessive Uric Acid) katika damu. Tindikali ya urea (uric acid) hutokea kama taka mwili inayokuwepo kwenye damu. Tindikali hii hutengenezwa pale ambapo mwili huvunja kemikali ya Purin wakati wa umeng"enyaji wa chakula na hivyo kubaki kwenye damu. SABABU ZA HATARI KUPATA GAUTI. Wanaume hupata Gauti zaidi kuliko wanawake. Uzito mkubwa/ unene huongeza hatari ya kupata gauti Baadhi ya magonjwa kama vile magonjwa ya moyo, magonjwa ya figo pamoja na kisukari. Baadhi ya dawa Matumizi ya pombe. Vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Purine kama vile Nyama nyekundu. DALILI ZA GAUTI Maumivu makali kwenye viungo, haswa kidole kikubwa cha mguu, goti au mguu (ankle) Kuvimba vya sehemu ya kiungo Sehemu yenye shida kua nyekundu na ya moto. VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUTIBU NA KUZUIA TATIZO LA GAUTI. NB: kabla ya kuangalia vyakula hivyo, njia rahisi na ya ha